sw_tw/bible/names/zebedee.md

385 B

Zebedayo

Ufafanuzi

Zebedayo alikuwa mvuvi kutoka Galilaya anayejulikana kwa sababu ya wanawe, Yakobo na Yohana, waliokuwa wanafunzi wa Yesu. Hawa wamekuwa wakitajwa katika Agano Jipya kama "wana wa Zebedayo."

  • Wana wa Zebedayo walikuwa wavuvi pia na walifanya naye kazi ya kuvua samaki.
  • Yakobo na Yohana waliacha kazi yao ya kuvua na Zebedayo baba yao na wakamfuata Yesu.