sw_tw/bible/names/titus.md

11 lines
412 B
Markdown

# Tito
## Ufafanuzi
Tito alikuwa Mpagani alikuja kuwa mwamini kupitia huduma ya Paulo mtume. Alifunzwa na Paulo kuwa kiongozi mwanzo wa makanisa.
* Barua kwa Tito na Paulo ni moja ya vitabu vya Agano Jipya.
* Katika hii barua Paulo ana muelekeza Titp kuteua viongozi wa kanisa katika kisiwa cha Krete.
* Katika barua zake zingine kwa Wakristo, Paulo anamtaja Tito kama mtu aliye mtia moyo na kumletea furaha