sw_tw/bible/names/titus.md

412 B

Tito

Ufafanuzi

Tito alikuwa Mpagani alikuja kuwa mwamini kupitia huduma ya Paulo mtume. Alifunzwa na Paulo kuwa kiongozi mwanzo wa makanisa.

  • Barua kwa Tito na Paulo ni moja ya vitabu vya Agano Jipya.
  • Katika hii barua Paulo ana muelekeza Titp kuteua viongozi wa kanisa katika kisiwa cha Krete.
  • Katika barua zake zingine kwa Wakristo, Paulo anamtaja Tito kama mtu aliye mtia moyo na kumletea furaha