sw_tw/bible/names/terah.md

10 lines
386 B
Markdown

# Tera
## Ufafanuzi
Tera alikuwa mzao wa mwana wa Nuhu, Shemu. Alikuwa mwana wa Abramu, Nahori na Harani.
* Tera aliondoka nyumbani Uri ilikuweza kwenda kwenye nchi ya Kanani na mwanae Abramu, mtoto wa mjomba yake Lutu, na mke wa Abramu Sarai.
* Alipo kuwa njiani kwenda Kanani, Tera na familia yake waliishi miaka mingi mji wa Harani Mesopotamia. Tera alikufa Harani na miaka 205.