sw_tw/bible/names/terah.md

386 B

Tera

Ufafanuzi

Tera alikuwa mzao wa mwana wa Nuhu, Shemu. Alikuwa mwana wa Abramu, Nahori na Harani.

  • Tera aliondoka nyumbani Uri ilikuweza kwenda kwenye nchi ya Kanani na mwanae Abramu, mtoto wa mjomba yake Lutu, na mke wa Abramu Sarai.
  • Alipo kuwa njiani kwenda Kanani, Tera na familia yake waliishi miaka mingi mji wa Harani Mesopotamia. Tera alikufa Harani na miaka 205.