sw_tw/bible/names/syria.md

13 lines
555 B
Markdown

# Syria
## Ufafanuzi
Syria ni nchi iliyopo kaskazini mashariki ya Israeli. Wakati wa kipindi cha Agano Jipya, ilikuwa mkoa chini ya utawala wa Serikali ya Kirumi.
* Katika Agano la Kale, Wasyria walikuwa jeshi kubwa la maadui wa Israeli.
* Naamani alikuwa kiongozi mkuu wa jsehi la Syria aliye ponywa ukoma na nabii Elisha.
* Wakazi wengi wa Syria ni wazao wa Aramu, aliye mzao wa mwana wa Nuhu Shemu.
* Damasko, mji mkuu wa Syria, unatajwa mara nyingi kwenye Biblia.
* Sauli alienda mji wa Damasko kwa mpango wa kutesa Wakristo, lakini Yesu alimzuia