sw_tw/bible/names/syria.md

555 B

Syria

Ufafanuzi

Syria ni nchi iliyopo kaskazini mashariki ya Israeli. Wakati wa kipindi cha Agano Jipya, ilikuwa mkoa chini ya utawala wa Serikali ya Kirumi.

  • Katika Agano la Kale, Wasyria walikuwa jeshi kubwa la maadui wa Israeli.
  • Naamani alikuwa kiongozi mkuu wa jsehi la Syria aliye ponywa ukoma na nabii Elisha.
  • Wakazi wengi wa Syria ni wazao wa Aramu, aliye mzao wa mwana wa Nuhu Shemu.
  • Damasko, mji mkuu wa Syria, unatajwa mara nyingi kwenye Biblia.
  • Sauli alienda mji wa Damasko kwa mpango wa kutesa Wakristo, lakini Yesu alimzuia