12 lines
602 B
Markdown
12 lines
602 B
Markdown
# Sakothi
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Sakothi ni jina la miji miwili ya Agano la Kale. Neno, "sakothi" lina maana ya "hifadhi."
|
|
|
|
* Mji wa kwanza uliyo itwa Sakothi ulikuwa mashariki mwa Mto Yordani.
|
|
* Yakobo alibaki Sakothi na familia yake na mifugo, akijenga mahifadhi yao hapo.
|
|
* Miaka mia na zaidi baadae, Gideoni na wanaume wake waliyo choka alisimama Sakothi walipo kuwa wakiwakimbiza Wamidiani, lakini watu huko walikataa kuwapa chakula chochote.
|
|
* Sakothi ya pili ipo kaskazini mwa mpaka wa Misri na ilikuwa sehemu moja Waisraeli walisimama walipo vuka Bahari ya Shamu walipo kuwa wanatoroka utumwa Misri.
|
|
|