sw_tw/bible/names/succoth.md

602 B

Sakothi

Ufafanuzi

Sakothi ni jina la miji miwili ya Agano la Kale. Neno, "sakothi" lina maana ya "hifadhi."

  • Mji wa kwanza uliyo itwa Sakothi ulikuwa mashariki mwa Mto Yordani.
  • Yakobo alibaki Sakothi na familia yake na mifugo, akijenga mahifadhi yao hapo.
  • Miaka mia na zaidi baadae, Gideoni na wanaume wake waliyo choka alisimama Sakothi walipo kuwa wakiwakimbiza Wamidiani, lakini watu huko walikataa kuwapa chakula chochote.
  • Sakothi ya pili ipo kaskazini mwa mpaka wa Misri na ilikuwa sehemu moja Waisraeli walisimama walipo vuka Bahari ya Shamu walipo kuwa wanatoroka utumwa Misri.