sw_tw/bible/names/solomon.md

12 lines
673 B
Markdown

# Sulemani
## Ufafanuzi
Sulemani alikuwa mmoja wa wana wa Mfalme Daudi. Mama yake alikuwa ni Bathsheba.
* Sulemani alipo kuwa mfalme, Mungu alimwambia aulize chochote alicho taka. Hivyo Sulemani aliomba hekima kutawala watu wake kwa haki na kweli. Mungu alifurahishwa na Sulemani na kumpa hekima na utajiri.
* Sulemani ni al maarufu kwa kuwa na hekalu zuri Yerusalemu.
* Japo kuwa Sulemani alitawala kwa hekima mwanzoni mwa utawala wake, baadae alioa kijinga wanawake wengi wa kigeni na kuanza kuabudu miungu yao.
* Kwasababu ya kutokuwa mwaminifu, baada ya kifo chake Mungu aligawanya Waisraeli kwenye falme mbili: Israeli na Yuda. Hizi falme mara nyingi zilipigana.