sw_tw/bible/names/solomon.md

673 B

Sulemani

Ufafanuzi

Sulemani alikuwa mmoja wa wana wa Mfalme Daudi. Mama yake alikuwa ni Bathsheba.

  • Sulemani alipo kuwa mfalme, Mungu alimwambia aulize chochote alicho taka. Hivyo Sulemani aliomba hekima kutawala watu wake kwa haki na kweli. Mungu alifurahishwa na Sulemani na kumpa hekima na utajiri.
  • Sulemani ni al maarufu kwa kuwa na hekalu zuri Yerusalemu.
  • Japo kuwa Sulemani alitawala kwa hekima mwanzoni mwa utawala wake, baadae alioa kijinga wanawake wengi wa kigeni na kuanza kuabudu miungu yao.
  • Kwasababu ya kutokuwa mwaminifu, baada ya kifo chake Mungu aligawanya Waisraeli kwenye falme mbili: Israeli na Yuda. Hizi falme mara nyingi zilipigana.