sw_tw/bible/names/simonthezealot.md

10 lines
304 B
Markdown

# Simoni
## Ufafanuzi
Simoni alikuwa mmoja wa wanafunzi kumi na mbili wa Yesu.
* Simoni anatajwa mara tatu katika orodha ya wanafunzi wa Yesu, lakini machache yana julikana kuhusu yeye.
* Simoni alikuwa mmoja wa wale Kumi na Moja waliyo kutana kuomba pamoja Yerusalemu baada ya Yesu kurudi mbinguni.