sw_tw/bible/names/simonthezealot.md

304 B

Simoni

Ufafanuzi

Simoni alikuwa mmoja wa wanafunzi kumi na mbili wa Yesu.

  • Simoni anatajwa mara tatu katika orodha ya wanafunzi wa Yesu, lakini machache yana julikana kuhusu yeye.
  • Simoni alikuwa mmoja wa wale Kumi na Moja waliyo kutana kuomba pamoja Yerusalemu baada ya Yesu kurudi mbinguni.