sw_tw/bible/names/shem.md

11 lines
388 B
Markdown

# Shemu
## Ufafanuzi
Shemu alikuwa mmoja wa wana wa Nuhu aliye enda nae kwenye safina kipindi cha gharika ya ulimwengu inayo elezwa katika kitabu cha Mwanzo.
* Shemu alikuwa babu wa Ibrahimu na wazao wake.
* Wazao wa Shemu wanajulikana kama "Wasemi" wanao zungumza lugha za "Kisemi" kama vile Kiebrania na Kiarabu.
* Biblia ina kumbukumbu ya maisha ya Shemu kuwa takribani miaka 600.