sw_tw/bible/names/shem.md

388 B

Shemu

Ufafanuzi

Shemu alikuwa mmoja wa wana wa Nuhu aliye enda nae kwenye safina kipindi cha gharika ya ulimwengu inayo elezwa katika kitabu cha Mwanzo.

  • Shemu alikuwa babu wa Ibrahimu na wazao wake.
  • Wazao wa Shemu wanajulikana kama "Wasemi" wanao zungumza lugha za "Kisemi" kama vile Kiebrania na Kiarabu.
  • Biblia ina kumbukumbu ya maisha ya Shemu kuwa takribani miaka 600.