sw_tw/bible/names/seth.md

11 lines
371 B
Markdown

# Sethi
## Ufafanuzi
Katika kitabu cha Mwanzo, Sethi alikuwa mwana wa tatu wa Adamu na Hawa.
* Hawa alisema kwamba Sethi alipewa kwake kwa sehemu ya mwanae Abeli, aliye uawa na kaka yake Kaini.
* Nuhu alikuwa mzao wa Sethi, hivyo kila mtu aliye ishi tangu kipindi cha gharika ni mzao wa Sethi.
* Sethi na familia yake walikuwa watu wa kwanza "kuliita jina la Bwana."