sw_tw/bible/names/seth.md

371 B

Sethi

Ufafanuzi

Katika kitabu cha Mwanzo, Sethi alikuwa mwana wa tatu wa Adamu na Hawa.

  • Hawa alisema kwamba Sethi alipewa kwake kwa sehemu ya mwanae Abeli, aliye uawa na kaka yake Kaini.
  • Nuhu alikuwa mzao wa Sethi, hivyo kila mtu aliye ishi tangu kipindi cha gharika ni mzao wa Sethi.
  • Sethi na familia yake walikuwa watu wa kwanza "kuliita jina la Bwana."