sw_tw/bible/names/sennacherib.md

13 lines
495 B
Markdown

# Senakeribu
## Ufafanuzi
Senakeribu alikuwa mfalme mkubwa wa Assiria aliye sababisha Ninawi kuwa tajiri, na mji wa muhimu.
* Mfalme Senakeribu anajulikana kwa vita vyake dhidi ya Babiloni na ufalme wa Yuda.
* Alikuwa mfalme mwenye kiburi na kumdhihaki Yahweh.
* Senakeribu alishambulia Yerusalemu kipindi cha Mfalme Hezekia.
* Yahweh alisababisha jeshi la Senakeribu kuharibiwa.
* Vitabu vya Agano la Kale vya Wafalme na Nyakati vina adisia baadhi ya matukio ya Senakeribu na utawala wake.