sw_tw/bible/names/sennacherib.md

495 B

Senakeribu

Ufafanuzi

Senakeribu alikuwa mfalme mkubwa wa Assiria aliye sababisha Ninawi kuwa tajiri, na mji wa muhimu.

  • Mfalme Senakeribu anajulikana kwa vita vyake dhidi ya Babiloni na ufalme wa Yuda.
  • Alikuwa mfalme mwenye kiburi na kumdhihaki Yahweh.
  • Senakeribu alishambulia Yerusalemu kipindi cha Mfalme Hezekia.
  • Yahweh alisababisha jeshi la Senakeribu kuharibiwa.
  • Vitabu vya Agano la Kale vya Wafalme na Nyakati vina adisia baadhi ya matukio ya Senakeribu na utawala wake.