sw_tw/bible/names/rebekah.md

11 lines
375 B
Markdown

# Rebeka
## Ufafanuzi
Rebeka alikuwa mjukuu wa kaka yake na Abrahamu yaani Nuhu.
* Mungu alimchagua Rebeka kuwa mke wa mtoto wa Abrahamu, Isaka.
* Rebeka alitoka mjia wa Aramu alipokuwa akiishi na kwenda na mtumishi wa Abrahamu katika mji wa Negevu ambapo Isaka aliishi.
* Kwa muda mrefu Rebeka hakuwa na mtoto lakini baadaye Mungu akambariki na mapacha Esau na Yakobo.