sw_tw/bible/names/rebekah.md

375 B

Rebeka

Ufafanuzi

Rebeka alikuwa mjukuu wa kaka yake na Abrahamu yaani Nuhu.

  • Mungu alimchagua Rebeka kuwa mke wa mtoto wa Abrahamu, Isaka.
  • Rebeka alitoka mjia wa Aramu alipokuwa akiishi na kwenda na mtumishi wa Abrahamu katika mji wa Negevu ambapo Isaka aliishi.
  • Kwa muda mrefu Rebeka hakuwa na mtoto lakini baadaye Mungu akambariki na mapacha Esau na Yakobo.