sw_tw/bible/names/rabbah.md

11 lines
286 B
Markdown

# Rabai
## Ufafanuzi
Rabai ulikuwa mji wa muhimu sana kwa watu wa Waamoni.
* Katika vita dhidi ya Waamoni Waisraeli walivamia Rabai.
* Mfalme Daudi wa Israeli aliiteka Rabai kama mateka yake ya mwisho.
* Katika nyakati za sasa mji wa Amman Yordani ni sehemu ambayo Rabai ilikuwepo.