sw_tw/bible/names/rabbah.md

286 B

Rabai

Ufafanuzi

Rabai ulikuwa mji wa muhimu sana kwa watu wa Waamoni.

  • Katika vita dhidi ya Waamoni Waisraeli walivamia Rabai.
  • Mfalme Daudi wa Israeli aliiteka Rabai kama mateka yake ya mwisho.
  • Katika nyakati za sasa mji wa Amman Yordani ni sehemu ambayo Rabai ilikuwepo.