sw_tw/bible/names/peter.md

12 lines
532 B
Markdown

# Petro, Simoni Petro, Kefa
## Ufafanuzi
Petro alikuwa mmoja wa mitume wa Yesu. Alikuwa kiongozi wa muhimu katika kanisa la kwanza.
* Kabla Yesu hajamuita kuwa mwanafunzi wake aliitwa Simoni.
* Baadae Yesu akamuita Kefa yenye maana ya "jiwe" au "mwamba." Jina Petro pia linamaana ya "jiwe" au "mwamba" kwa lugha ya Kigiriki.
* Mungu alifanya kazi kupitia Petro kwa kuwaponya watu na kuhubiri habari njema kuhusu Yesu.
* Vitabu viwili vya agano jipya ni barua ambazo Petro aliandika kuwatia moyo na kuwafundisha waamini wenzake.