sw_tw/bible/names/peter.md

532 B

Petro, Simoni Petro, Kefa

Ufafanuzi

Petro alikuwa mmoja wa mitume wa Yesu. Alikuwa kiongozi wa muhimu katika kanisa la kwanza.

  • Kabla Yesu hajamuita kuwa mwanafunzi wake aliitwa Simoni.
  • Baadae Yesu akamuita Kefa yenye maana ya "jiwe" au "mwamba." Jina Petro pia linamaana ya "jiwe" au "mwamba" kwa lugha ya Kigiriki.
  • Mungu alifanya kazi kupitia Petro kwa kuwaponya watu na kuhubiri habari njema kuhusu Yesu.
  • Vitabu viwili vya agano jipya ni barua ambazo Petro aliandika kuwatia moyo na kuwafundisha waamini wenzake.