sw_tw/bible/names/nileriver.md

12 lines
471 B
Markdown

# Mto Nili, Mto wa Misri
## Ufafanuzi
Nili ni mto mrefu na mpana katika kaskazini mashariki mwa Africa. Unajulikana kama mto rasmi wa Misri.
* Mto Nili unapita kaskazini kupita Misri na kwenda Bahari ya Medetarenia.
* Mimea ina kua kwenye nchi ya rotuba pande zote mbili za Mto Nili.
* Wamisri wengi wanaishi karibu na Mto Nili maan ni muhimu kwa maji na mazao ya chakula.
* Waisraeli waliishi nchi ya Gosheni iliyo kuwa na rotuba kwababu ilikuwa upande wa Mto Nile