sw_tw/bible/names/nileriver.md

471 B

Mto Nili, Mto wa Misri

Ufafanuzi

Nili ni mto mrefu na mpana katika kaskazini mashariki mwa Africa. Unajulikana kama mto rasmi wa Misri.

  • Mto Nili unapita kaskazini kupita Misri na kwenda Bahari ya Medetarenia.
  • Mimea ina kua kwenye nchi ya rotuba pande zote mbili za Mto Nili.
  • Wamisri wengi wanaishi karibu na Mto Nili maan ni muhimu kwa maji na mazao ya chakula.
  • Waisraeli waliishi nchi ya Gosheni iliyo kuwa na rotuba kwababu ilikuwa upande wa Mto Nile