sw_tw/bible/names/nahum.md

10 lines
264 B
Markdown

# Nahumu
## Ufafanuzi
Nahumu alikuwa nabii aliye ubiri kipindi ambacho mfalme mouvu Manase alitawala Yuda.
* Nahumu alitoka mji wa Elkoshi, maili 20 kutoka Yerusalemu.
* Agano la Kale kitabu cha Nahumu kimeandika unabii wake kuhusu uharibifu wa mji wa Ninewi.