sw_tw/bible/names/nahum.md

264 B

Nahumu

Ufafanuzi

Nahumu alikuwa nabii aliye ubiri kipindi ambacho mfalme mouvu Manase alitawala Yuda.

  • Nahumu alitoka mji wa Elkoshi, maili 20 kutoka Yerusalemu.
  • Agano la Kale kitabu cha Nahumu kimeandika unabii wake kuhusu uharibifu wa mji wa Ninewi.