|
# Nahori
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Nahori lilikuwa jina la ndugu wawili wa Ibrahimu: babu yake na kaka.
|
|
|
|
* Kaka yake Ibrahimu Nahori alikuwa babu wa mke wa Isaka Rebeka.
|
|
* Maneno "mji wa Nahori" ulimaanisha, "mji uliyo itwa Nahori" au "mji ambao Nahori aliishi" au " Mji wa Nahori"
|
|
|