sw_tw/bible/names/nahor.md

272 B

Nahori

Ufafanuzi

Nahori lilikuwa jina la ndugu wawili wa Ibrahimu: babu yake na kaka.

  • Kaka yake Ibrahimu Nahori alikuwa babu wa mke wa Isaka Rebeka.
  • Maneno "mji wa Nahori" ulimaanisha, "mji uliyo itwa Nahori" au "mji ambao Nahori aliishi" au " Mji wa Nahori"