sw_tw/bible/names/molech.md

10 lines
322 B
Markdown

# Moleki, Moloki
## Ufafanuzi
Moleki lilkuwa jina la miungu wa uongo ambao Wakanani waliabudu.
* Watu waliyo abudu Moleki alitoa dhabihu watoto wao kwake kwa moto.
* Waisraeli wengine pia waliabudu Moleki badala ya Mungu wa kweli, Yahweh. Walifuata matendo maovu ya waabudu Moleki, pamoja na kutoa dhabihu watoto wao