sw_tw/bible/names/molech.md

322 B

Moleki, Moloki

Ufafanuzi

Moleki lilkuwa jina la miungu wa uongo ambao Wakanani waliabudu.

  • Watu waliyo abudu Moleki alitoa dhabihu watoto wao kwake kwa moto.
  • Waisraeli wengine pia waliabudu Moleki badala ya Mungu wa kweli, Yahweh. Walifuata matendo maovu ya waabudu Moleki, pamoja na kutoa dhabihu watoto wao