sw_tw/bible/names/mizpah.md

333 B

Mizpa

Ufafanuzi

Mizpa ni jina la baadhi ya miji inayo tajwa katika Agano la Kale. Ina maana, "mnara wa doria"

  • Daudi alipo kuwa anakimbizwa na Sauli, aliwaacha wazazi wake Mizpa, chini ya ulinzi wa mfalme Moabu.
  • Mji moja unaoitwa Mizpa ulikuwa mpakani katika ya falme za Yuda na Israeli. Ilikuwa sehemu kubwa ya kijeshi.