sw_tw/bible/names/mede.md

11 lines
454 B
Markdown

# Mede, Media
## Ufafanuzi
Media ulikuwa mji wa zamani uliyo kuwa mashariki mwa Asiria na Babilonia, na kaskazini mwa Elamu na Persia. Watu waliyo ishi katika utawala wa Media walitwa "Wamede."
* Utawala wa Media ulikuwa maeneo yote ya Uturuki, Irani, Syria, Iraq na Afghanistani.
* Wamede walikuwa karibu na Waajemi na tawala hizi mbili ziliungana kuwashinda Wababilonia.
* Babilonia ilivamiwa na Darius Mmede kipindi cha nabii Danieli kuishi huko.