sw_tw/bible/names/mede.md

454 B

Mede, Media

Ufafanuzi

Media ulikuwa mji wa zamani uliyo kuwa mashariki mwa Asiria na Babilonia, na kaskazini mwa Elamu na Persia. Watu waliyo ishi katika utawala wa Media walitwa "Wamede."

  • Utawala wa Media ulikuwa maeneo yote ya Uturuki, Irani, Syria, Iraq na Afghanistani.
  • Wamede walikuwa karibu na Waajemi na tawala hizi mbili ziliungana kuwashinda Wababilonia.
  • Babilonia ilivamiwa na Darius Mmede kipindi cha nabii Danieli kuishi huko.