sw_tw/bible/names/malachi.md

12 lines
482 B
Markdown

# Malaki
## Ufafanuzi
Malaki alikuwa mmoja wa manabii wa Mungu kwa ufalme wa Yuda. Aliishi katika ya miaka 500 kabla Kristo kuwa ulimwenguni.
* Malaki alitabiri kipindi ambacho hekalu la Israeli lilikuwa likijengwa baada ya kurudi kutoka matekani ya Babiloni.
* Ezra na Nehemia waliishi kipindi kimoja na Malaki.
* Kitabu cha Malaki ni kitabu cha mwisho cha Agano la Kale.
* Kama manabii wa Agano la Kale, Malaki alisisitiza watu kutubu dhambi zao na kumrudia kumuabudu Yahweh.