sw_tw/bible/names/malachi.md

482 B

Malaki

Ufafanuzi

Malaki alikuwa mmoja wa manabii wa Mungu kwa ufalme wa Yuda. Aliishi katika ya miaka 500 kabla Kristo kuwa ulimwenguni.

  • Malaki alitabiri kipindi ambacho hekalu la Israeli lilikuwa likijengwa baada ya kurudi kutoka matekani ya Babiloni.
  • Ezra na Nehemia waliishi kipindi kimoja na Malaki.
  • Kitabu cha Malaki ni kitabu cha mwisho cha Agano la Kale.
  • Kama manabii wa Agano la Kale, Malaki alisisitiza watu kutubu dhambi zao na kumrudia kumuabudu Yahweh.