sw_tw/bible/names/maker.md

10 lines
278 B
Markdown

# Muumbaji
## Ufafanuzi
Kwa ujmla, "muumbaji" ni mtu anaye tengeneza au kufanya vitu.
* Katika Biblia, neno "Muumbaji" mara nyingine linatumika kama jina au cheo cha Yahweh, kwasababu ameumba kila kitu.
* Mara kwa mara hili neno lina ambatana na "wake" au "wangu" au "wako"