sw_tw/bible/names/maker.md

278 B

Muumbaji

Ufafanuzi

Kwa ujmla, "muumbaji" ni mtu anaye tengeneza au kufanya vitu.

  • Katika Biblia, neno "Muumbaji" mara nyingine linatumika kama jina au cheo cha Yahweh, kwasababu ameumba kila kitu.
  • Mara kwa mara hili neno lina ambatana na "wake" au "wangu" au "wako"