12 lines
449 B
Markdown
12 lines
449 B
Markdown
# Makedonia
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Katika Agano jipya, eneo lililo upande wa kaskazini wa Ugiriki.
|
|
|
|
* Miji Muhimu ilikuwa Berea, Filipi, na Thesalonika.
|
|
* Katika maono, Mungu alimwambia Paulo kuhubiri injili kwa watu wa Makedonia.
|
|
* Paulo na wafanya kazi wake walienda Makedonia na kuwa fundisha watu kuhusu Yesu na kuwasaidia kukua kiimani.
|
|
* Katika Biblia kuna barua ambazo Paulo aliandika kwa waaminin wa Makedonia katika miji ya Filipi na Thesalonike.
|
|
|