449 B
449 B
Makedonia
Ufafanuzi
Katika Agano jipya, eneo lililo upande wa kaskazini wa Ugiriki.
- Miji Muhimu ilikuwa Berea, Filipi, na Thesalonika.
- Katika maono, Mungu alimwambia Paulo kuhubiri injili kwa watu wa Makedonia.
- Paulo na wafanya kazi wake walienda Makedonia na kuwa fundisha watu kuhusu Yesu na kuwasaidia kukua kiimani.
- Katika Biblia kuna barua ambazo Paulo aliandika kwa waaminin wa Makedonia katika miji ya Filipi na Thesalonike.