12 lines
624 B
Markdown
12 lines
624 B
Markdown
# Luka
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Luka alikuwa mwandishi wa vitabu viwili vya Agano Jipya: injili ya Luka na kitabu cha Matendo ya Mitume.
|
|
|
|
Katika barua yake kwa Wakolosai,Paulo alimtaja Luka kama daktari. Paulo anamtaja Luka kwenye barua zake mbili.
|
|
Inadhaniwa kuwa Luka alikuwa Mgiriki na Myunani kabla hajamjua Kristo. Katika injili yake, Luka anajumuisha matukio yanayoonesha upendo wa Yesu kwa watu wote, Wayahudi na Wayunani.
|
|
Luka alifuatana na Paulo katika safari mbili za kimisionari na kumsaidia na kazi zake,
|
|
Katika maandiko kadhaa ya awali ya kanisa, inasemekana kuwa Luka alizaliwa katika mji wa Antiokia ndani ya Shamu.
|
|
|