12 lines
533 B
Markdown
12 lines
533 B
Markdown
# Lutu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Lutu lilikuwa jina la mpwa wa Abrahamu.
|
|
Alikuwa mwana wa ndugu yake Abrahamu, Harani.
|
|
Lutu alisafiri na Abrahamu kwenda nchi ya Kanaani na kuishi katika mji wa Sodoma
|
|
Lutu alikuwa babu wa Wamoabi na Waamoni.
|
|
Wafalme maadui walipovamia Sodoma na kumteka Lutu, Abrahamu alikuja na mamia kadha ya wanaume kumuokoa Lutu na kurudisha mali zake.
|
|
Watu walioishi katika mji wa Sodoma walikuwa watu waovu sana kwa hiyo Mungu aliuangamiza mji huo. Lakini kwanza alimwambia Lutu na familia ya kuuondoka mji ili watoroke.
|
|
|