10 lines
281 B
Markdown
10 lines
281 B
Markdown
# Lameki
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Lameki lilikuwa jina la wanaume wawili waliotajwa katika kitabu cha Mwanzo.
|
|
|
|
Lameki wa kwanza aliyetajwa alikuwa uzao wa Kaini. Alijivunia kwa wake zake wawili kuwa alimuua mtu kwa kumuumiza.
|
|
Lameki wa pili alikuwa uzao wa Sethi. Alikuwa pia baba wa Nuhu.
|
|
|