11 lines
399 B
Markdown
11 lines
399 B
Markdown
# Yafa
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Katika nyakati za Biblia, mji wa Yafa ulikuwa mji muhimu wa kibiashara uliopo Bahari ya Kati, kusini mwa uwanda wa Sharoni.
|
|
|
|
Eneo la zamani la Yafa ndio mji wa leo wa Yafa, ambayo sasa ni sehemu ya Tel Aviv.
|
|
Katika Agano la Kale, Yafa ndio mji ambao Yona alipanda boti kwenda Tarshishi.
|
|
Katika Agano Jipya, mwanamke wa Kikristo aitwaye Tabitha alifia Yafa na Petro alimfufua.
|
|
|