12 lines
564 B
Markdown
12 lines
564 B
Markdown
# Yohana (mtume)
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yohana alikuwa mmoja wa mitume kumi na mbili na rafiki wa karibu wa Yesu.
|
|
|
|
Yohana na ndugu yake Yakobo walikuwa wana wa mvuvi wa samaki aitwaye Zebedayo.
|
|
Katika injili aliyoandika kuhusu maisha ya Yesu, Yohana alijieleza kama "mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda." Hii inaonehsa kuwa Yohana alikuwa rafiki wa karibu wa Yesu.
|
|
Mtume Yohana aliandika vitabu vitano katika Agano Jipya: injili ya Yohana, Ufuno wa Yesu Kristo, na barua tatu zilionadikwa kwa waumini wengine.
|
|
Noti kuwa mtume Yohana alikuwa mtu tofauti na Yohana mbatizaji.
|
|
|