13 lines
610 B
Markdown
13 lines
610 B
Markdown
# Yezreeli
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yezreeli lilikuwa jina la mji muhimu Israeli katika eneo la kabila la Isakari, lililokuwa kusini magharibi mwa Bahari ya Chumvi.
|
|
|
|
Mji wa Yezreeli ni moja ya alama za magharibi za uwanda wa Megido, ambayo pia unaitwa "Bonde la Yezreeli."
|
|
Wafalme kadhaa wa Israeli walikuwa na majumba yao ya utawala katika mji wa Yezreeli.
|
|
Bustani la mizabibu la Nabothi ilikuwa karibu na nyumba ya mfalme Ahabu ndani ya Yezreeli. Nabii Eliya alitabiri dhidi ya Ahabu huko.
|
|
Mke muovu wa Ahabu, Yezebeli, aliuwawa Yezreeli.
|
|
Matukio mengine ya muhimu yalitokea katika mji huu, yakiwemo mapigano kadhaa.
|
|
|