14 lines
719 B
Markdown
14 lines
719 B
Markdown
# Yehu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yehu lilikuwa jina la wanaume wawili katika Agano la Kale.
|
|
|
|
Yehu mwana wa Hanani alikuwa nabii wakati wa utawala wa Mfalme Ahabu na Mfalme Yehoshafati wa Yuda.
|
|
Yehu mwana (uzao) wa Yehoshafati alikuwa jemedari katika jeshi la Israeli ambaye alitiwa mafuta kuwa mfalme kwa amri ya nabii Elisha.
|
|
Yehu aliua vitu viwili viovu: Mfalme Yoramu wa Israeli na Mfalme Ahazia wa Yuda.
|
|
Mfalme Yehu pia aliwaua ndugu wote wa mfalme wa zamani Ahabu, na akafanya yule malkia muovu Yezebeli auwawe.
|
|
Yehu aliaangamiza sehemu zote za kumuabudia Baali ndani ya Samaria na kuwaua manabii wote wa Baali.
|
|
Mfalme Yehu alimtumikia Mungu mmoja wa kweli, Yahwe, na alikuwa mfalme juu ya Israeli kwa miaka ishiri na nane.
|
|
|