14 lines
849 B
Markdown
14 lines
849 B
Markdown
# Yehoramu, Yoramu
|
|
|
|
## Ufafanuzi
|
|
|
|
Yehoramu lilikuwa jina la wafalme wawili tofauti katika Agano la Kale. Wafalme wote hao wawili walijulikana kama "Yoramu."
|
|
|
|
Mfalme mmoja Yehoramu alitawala ufalme wa Yuda kwa miaka minane. Alikuwa mwana wa Mfalme Yehoshafati. Huyu ndiye mfalme anayejulikna zaidi kama Yoramu.
|
|
Mfalme Yehoramu mwingine alitawala ufalme wa Israeli kwa miaka kumi na mbili. Alikuwa mwana wa Mfalme Ahabu.
|
|
Mfalme Yehoramu wa Yuda alitawala wakati wa manabii Yeremia, Danieli, Obadia, na Ezekieli wakitabiri katika ufalme wa Yuda.
|
|
Yehoramu pia alitawala kwa muda kiasi wakati baba yake Yehoshafati alipokuwa akitawala Yuda.
|
|
Tafsiri zingine zinaweza kuchagua kutumia jina "Yehoramu" pale ambapo huyu mfalme wa Israeli anatajwa na "Yoramu" kwa mfalme wa Yuda.
|
|
Njia nyingine ya kumtambua vizuri kila mmoja ni kuongeza jina la baba yake.
|
|
|